Founded in 2003, the movement brings together community volunteers, civic leaders, and local coalitions to champion public education. The network works to improve school environments, track education financing, and advocate for safe, inclusive, and quality learning for all children.
Harakati za Marafiki wa Elimu
A movement of citizens improving education and democracy
Ni Harakati za mtu mmoja mmoja, makundi, mashirika na taasisi zinazolenga kuboresha elimu na demokrasia nchini. Harakati hizi zinawaleta pamoja wananchi wanaopenda maendeleo ya elimu na kuwapa fursa ya kubadilishana mawazo na uzoefu katika masuala yanayohusu elimu.
Ni mtandao unaowezesha wananchi kuhoji na kujadili maendeleo, mafanikio na mapungufu ya elimu na kutoa mapendekezo ili kusaidia kuleta mabadiliko ya kimapinduzi katika utoaji na usimamizi wa Elimu ndani ya jamii zao na Tanzania kwa ujumla.
Members of the Friends of Education network
0+
Mpaka sasa mtandao wa Marafiki wa Elimu una wanachama zaidi ya 45,000. Your Heading Text Here
Marafiki wa Elimu wanafanya nini?
What Friends of Education Movement do
01
Speak up at school meetings
Wanashiriki kikamilifu kuchangia mawazo katika mikutano ya wazazi shuleni.
02
Start community dialogues
Kuanzisha mijadala ndani ya jamii na taifa kwa ujumla yenye lengo la kuboresha Elimu nchini.
03
End gender-based violence
Wanaelimisha jamii juu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa watoto mashuleni, nyumbani na kwenye jamii.
04
Report to local leaders
Kuwasiliana na viongozi wa Serikali na kuwasilisha matukio ya ukatili kwenye Dawati la Jinsia.
05
Protect children’s rights
Wanaelimisha wananchi juu ya kulinda na kutetea haki ya mtoto.
06
Monitor schools
Kufuatilia uandikishaji, mahudhurio, ufaulu, uwepo wa walimu na hali ya miundombinu ya shule.
Usajili wa Rafiki wa Elimu
Jiunge na Harakati za Marafiki wa Elimu
Ukiwa Rafiki wa Elimu utawezeshwa kupata taarifa mbalimbali za Elimu. Utapata fursa kuungana na wanaharakati wa Elimu, kutoa maoni na tashwishi kwa viongozi mahususi wa Elimu, na kubadilishana mawazo, matarajio, na uzoefu.
Ukiwa Rafiki wa Elimu uliyekwisha jisajili unatakiwa kuhakiki taarifa zako mara kwa mara hususani anwani na maelezo mengine muhimu hasa pale unapobadili makazi, kazi n.k.
We are spread across 26 regions, through media advocacy campaigns and Friends of Education Network, working directly with 127 schools (65 primary and 62 secondary schools) across 22 districts: