Akiwa na Miaka 11, Irene Ana Ndoto ya Kuwa Daktari: Je, Tutamsaidia Kuifikia?

Akiwa na miaka 11, Irene Emmanuel Tipe ana ndoto ya kuwa daktari. Ndoto hii inachochewa na babu yake ambaye ni daktari, lakini safari yake ya kuifikia inajengwa pia na msaada na hamasa anayoipata kutoka kwa wazazi na walimu wake. Katika Shule ya Msingi Kiterini, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, tunakutana na Irene Emmanuel Tipe, […]