Shule zinapaswa kuwa mahali Salama kwa Watoto Kujifunza

HakiElimu, ikishirikiana na Kikosi Kazi cha Kupinga Adhabu ya Viboko Shuleni, imepokea kwa masikitiko mkubwa taarifa za kifo cha mwanafunzi Peter Maira, aliyekuwa akisoma kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Makongoro, iliyopo Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na vyombo vya habari, mwanafunzi huyo anadaiwa kupewa adhabu ya viboko shuleni, […]